Series (Special thread)

Series (Special thread)

Screenshot_20241101-202510.png
 
Bonge moja la series!

Mzigo kutoka Poland, tunakutana na Oska ambae alikua ni polisi wa kikosi kazi. Wakati wakiwa kwenye moja ya operation jamaa alipata panic attack iliyofanya mmoja ya polisi mwenzake kuuwawa.

Akatimuliwa kazi, huku Home mshua wake ni mtu wa madeni balaa sababu ya kamari. Siku aliyotoka kutimuliwa kazi alitoleana maneno mabaya na mshua wake akamwambia ana wish mshua angekufa tu maana hana msaada wowote kwenye maisha yake 😒

Si asubuhi anaamka anakuta mshua kajiua. Balaa zaidi sio kifo cha mshua, bali madeni tena sio madeni ya njia sahihi ni alikua anakopa kwa wahuni ambao suala la sheria kwao hawalijui.

Source pekee ambayo inaweza kulipa
hayo madeni ni nyumba ya urithi, kama wataamua kuuza lakini kijana alikataa, ila swali bado ni namna gani watalipa hayo madeni?

Mzigo una episodes 06.
Credit by fahamu movie Carleen Mr Q
20241101_223413.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom