Series (Special thread)

Series (Special thread)

Mkuu Vincenzo Jr

Weekend hii ambayo haina EPL nina mizigo ya kutosha

Tayari nshapakua Outer Banks S04 Part 2

Silo S02E01

Tea Cup Season 1 complete

Tulsa King Season 2

The day of the Jackal

Ngoja tumalizane na saga la Gamondi nijifungie chimbo nicheki series zangu
Ishu ya gamondi imeniumiza sana roho ndugu yangu 😃 😀
 
🐢
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    864.5 KB · Views: 16
Ntu na dada yake 😀😃😃😃 naona nae Tabitha anakumbuka mambo y zamani hapo fromvile inamaana Itakuwa aliwahi kukaa hapo na naona humu kwenye from wameanza kutuletea mambo ya hallucinations na multiverse mixer time travel naona mzigo soon tunaenda nao kama series Moja hivi inaitwa dark 😀😃😃😃😃
 
We jamaa Kila series unasifia demu mkali. Kwako Ubora wa series unazi-rate kwa mademu wakali. Sasa Hivi tutachakata kwanza ushauri unaotoa wa series za kuangalia 😂
Ila asilimia ya series nilizosema zina mademu zote ni kalii sana mfano kwenye shogun Kuna Mariko sama kwenye lioness Kuna Cruz kwenye dark matter Kuna Vanessa kwenye pressumed innocent Kuna yule muhabeshi Barbara sabich
 
Apple TV mpaka sasa
presumed innocent
dark matter
Silo
Sugar zote zinapiga sana pesa Kila EP inakula watazamaji wa kutosha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom