Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,079
- 16,035
Yeye anasema kaipata wapi?😂Mtu Kaniibia External Alafu After Few Days Anarudi Nayo Nimuwekee series 😂😂
Huyu Tunamfanyeje??
Yeye anasema kaipata wapi?😂Mtu Kaniibia External Alafu After Few Days Anarudi Nayo Nimuwekee series 😂😂
Huyu Tunamfanyeje??
Jinsia yake kwanza kisha tukushauriMtu Kaniibia External Alafu After Few Days Anarudi Nayo Nimuwekee series 😂😂
Huyu Tunamfanyeje??
Walimaanisha ukiangalia zile muvi za rambo, van damme n.k, misukosuko waliyopitia haifikii ya huyo demu humo.Nimeikata mpaka lisaa lizima sijawaona hao characters kina Van Damme na wenzie ambao mmeniambia wapo
Isije ikawa niliwaelewa vibaya ukute mlimaanisha wao ndio ma makamera man
Mr Q , Vincenzo Jr
View attachment 3139799
Wameniingiza chakaWalimaanisha ukiangalia zile muvi za rambo, van damme n.k, misukosuko waliyopitia haifikii ya huyo demu humo.
Namalizia episode ya 2, Episode ya 3 sijui inatoka lini.Special Ops: Lioness
Season 2 ep 1 &2
The waiting is over
Kisago chote lilichomo humo bado hujaikubali acha maskhara 😁😁Wameniingiza chaka
Jumapili inatokaNamalizia episode ya 2, Episode ya 3 sijui inatoka lini.
Ni demu mmoja hivi jirani yanguJinsia yake kwanza kisha tukushauri
Nilikuwa na tabia ya kuingiza majirani magetoni ili tucheki mpira na series sasa ndio huyu alipata chansi ya kuibeba eti anasema wakati anaichukua aliniambia afu nakumbuka siku ile nilikuwa mzima sijapiga pombe 🤣😀😃😃Yeye anasema kaipata wapi?😂
Kalii sana hii mkuu hii gom plus unayotumia ni crack au ulilipia?Nimeikata mpaka lisaa lizima sijawaona hao characters kina Van Damme na wenzie ambao mmeniambia wapo
Isije ikawa niliwaelewa vibaya ukute mlimaanisha wao ndio makamera man
Mr Q , Vincenzo Jr
View attachment 3139799
Mwanzo ungeandika hivi bila kuwataja kina Rambo nisingejisumbuaKisago chote lilichomo humo bado hujaikubali acha maskhara 😁😁
Ni crackKalii sana hii mkuu hii gom plus unayotumia ni crack au ulilipia?
Enjoy mkuu mkongo'oto wa humo 😁😁Mwanzo ungeandika hivi bila kuwataja kina Rambo nisingejisumbua
Nipe link niidownload mkuuNi crack
Kulipia program hiyo kitu siiwezi na ndio maana nazikataa sana products za apple
😃😀😀 Humu Kuna mwana alipigwa flampeni sijui kalai lile la kichwaEnjoy mkuu mkongo'oto wa humo 😁😁
Weka rating yako hadi ulipofika