Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hakika shadow strays ni muvi moja bomba sana.
John wick
Claude van dame
Anold
Rambo
Komando kipensi(deadly prey)
Bourne hawajawahi kupitia aliyo pita mwana dada 13

Scars acha ushamba angalia hii muvi haraka sana

Ni masaa mawili na dakika 25 za heka heka. NAMAANISHA HEKAHEKA NA SIO HEKAYA. yani brutal killings zimejaa humo
😬😬😬😬😬😬
Saizi nimepoa naenda wiki ya tatu now sijagusa series

Kuna muda tu stimu zinakata nakuwa sina mzuka kabisa.

Hiyo ntaichukua ila kuiangalia ni mpaka stimu zinirudie.
 
Hii series kalii sana 🔥
Screenshot_20241027-185236.jpg
 
Hakika shadow strays ni muvi moja bomba sana.
John wick
Claude van dame
Anold
Rambo
Komando kipensi(deadly prey)
Bourne hawajawahi kupitia aliyo pita mwana dada 13

Scars acha ushamba angalia hii muvi haraka sana

Ni masaa mawili na dakika 25 za heka heka. NAMAANISHA HEKAHEKA NA SIO HEKAYA. yani brutal killings zimejaa humo
😬😬😬😬😬😬
Aloo hivi hii movie starling ni nani?

Hofu yangu isije ikawa nime download movie tofauti na uliyoniambia

Naona mwanzoni mwanzoni tu mademu wanatoa vichapo kwa ma men wakiwa wamevalia vinyago.

Ndio hiyo au nimeingia chaka?

Hapo juu umewataja kina Anold, Rambo, Vann Dame nk. Ila sasa kwa trend nayoiona hapa ya hawa madem wanavyopiga wanaume nashindwa ku imagine hizo positions za hao wamba director atakuwa amewaweka kucheza kama nani
 
Ni code agent hao mademu ipo vizuri sana hiyo movie
 
Aloo hivi hii movie starling ni nani?

Hofu yangu isije ikawa nime download movie tofauti na uliyoniambia

Naona mwanzoni mwanzoni tu mademu wanatoa vichapo kwa ma men wakiwa wamevalia vinyago.

Ndio hiyo au nimeingia chaka?

Hapo juu umewataja kina Anold, Rambo, Vann Dame nk. Ila sasa kwa trend nayoiona hapa ya hawa madem wanavyopiga wanaume nashindwa ku imagine hizo positions za hao wamba director atakuwa amewaweka kucheza kama nani
Songa nayo usiishie njiani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom