Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,466
- 14,610
Prime wameshalipa kila kitu mpka season 4 , season 3 kuna uwezekana ikatoka mwakani mwishoni operation za JACK REACHER bado zinaendeleaTupo kwenye harakati ya kudai season 3
Prime wameshalipa kila kitu mpka season 4 , season 3 kuna uwezekana ikatoka mwakani mwishoni operation za JACK REACHER bado zinaendeleaTupo kwenye harakati ya kudai season 3
Never mess with a special investigatorsKama hujawai kuiona chukua hiyo Crime,action, thriller
Nimeicheki mkuu mda kidogo sasaKama hujawai kuiona chukua hiyo Crime,action, thriller
Action, thriller, crime nimecheki za kutosha sana plus drug related series ndio pigo zangu mpaka naona ntakosa burudani maana natafuta kote kote sioni nimekaa tu na mb's apaPrime wameshalipa kila kitu mpka season 4 , season 3 kuna uwezekana ikatoka mwakani mwishoni operation za JACK REACHER bado zinaendelea
Za kichina sijui kijapan hazinifai mkuu mi nachezeaga Usa,Uk,italy,spain nkNaunga mkono hoja hii inamfaa sana aongeze na warrior hapo mixer Wu assassin na the night manager niongeza pita na the 100
Chukua hiyo the 100Za kichina sijui kijapan hazinifai mkuu mi nachezeaga Usa,Uk,italy,spain nk
Tafuta na the penguin 🐧Action, thriller, crime nimecheki za kutosha sana plus drug related series ndio pigo zangu mpaka naona ntakosa burudani maana natafuta kote kote sioni nimekaa tu na mb's apa
Imeshatoka season 2?View attachment 3124113
Wale wa Crime Mystery mzigo huu hapa...
Sema inafanana sana na Presummed Innocent
Upo kama mimi.Za kichina sijui kijapan hazinifai mkuu mi nachezeaga Usa,Uk,italy,spain nk
Hivi ikivuja namna hii watatengeneza profit kweli?
😀😃😃😀Upo kama mimi.
Korea, China, Japan sjui uturuki daaaah 😂
Ndio wanapata faida upande wa stream sana maana kama the penguin Kila kipande kinakula watazamaji wakutoshaHivi ikivuja namna hii watatengeneza profit kweli?
Hakika shadow strays ni muvi moja bomba sana.Kalii sana jana niliiicheki itafute na shadow strays
Agent 13 anapiga ngumi huyo sema yule dogo kufa nilisikitika sanaHakika shadow strays ni muvi moja bomba sana.
John wick
Claude van dame
Anold
Rambo
Komando kipensi(deadly prey)
Bourne hawajawahi kupitia aliyo pita mwana dada 13
Scars acha ushamba angalia hii muvi haraka sana
Ni masaa mawili na dakika 25 za heka heka. NAMAANISHA HEKAHEKA NA SIO HEKAYA. yani brutal killings zimejaa humo
😬😬😬😬😬😬
Niliangalia killers game nikaanza kujilaumu kwamba nimeanza na muvi kali na kuacha mbaya kumbe buana zote kali Sijawa disappointed kabisaAgent 13 anapiga ngumi huyo sema yule dogo kufa nilisikitika sana
Hapa kaka 👉Codename 13 (2024) ⭐ 6.6 | Action, Crime, ThrillerVincenzo Jr ikitokea kuna kura zinaendelea kuhusu hiyo muvi nistue nikaipigie kura. Dah hatari sana
😃😀😀😀Niliangalia killers game nikaanza kujilaumu kwamba nimeanza na muvi kali na kuacha mbaya kumbe buana zote kali Sijawa disappointed kabisa