Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 50,171
- 123,320
Naangalia freeh tu tena naweka concentration zoteBasi itakuwa huwa unaangalia huku pembeni kuna watu wanakugasigasi labda washkaji au babies a vyovyote vile. Utulivu unakuwa kwa asilimia ndogo. Yes mwanaume unaweza usilie ila fundo la huzuni lazima liuzonge uso wako na mawazo yako. Mara ya mwisho kuhuzunika nilikuwa naangalia train to busan
Ni trick tu kuweza kuepuka mtego wa director.