Series (Special thread)

Series (Special thread)

-Game of thrones
-Nikita
-24
-Suits
-breaking bad
-The originals
-Last resort
 
-Game of thrones
-Nikita
-24
-Suits
-breaking bad
-The originals
-Last resort
 
New tv series nnazozipenda.

1.The last kingdom
2.Narcos
3.Quantico
4.blindspot
5.the bastard executioner
6.limitless
 
Mkuu kama umeshainstall utorrent kwenye simu/computer yako then nenda kwenye torrent site yeyote..Mf kickasstoreent,totrentz n.k fungua kisha andika jina la movie au series unayotaka kuipakua zen click kwenye TORRENT MAGNETIC LINK au DOWNLOAD TORRENT FILE ili kudownload

Naona Torrents sometimes zinasumbua now days hasa kikass mkuu
 
Narcos pekee ndo sijaanza itizama katika list yako inastory nzuri?

Ya actin yake iko poa,and wame base kweny true story,yani ukiangalia documentary ya pablo escobar ndo walichokiigza kwny narcos,so ni nzuri kihistoria na sanaa yake iko poa.
 
Nimeona episode moja ya limitless haijanigusa sana movie ya Brad Cooper Sijaiona

Okay...nilitaka nipate reviews maana movie ya Limitless sikuipenda, na series hii inafanana storyline na hiyo movie i guess...
 
Episode ya kwanza tu naona njemba zinakiss nikaona hainifai so nimeiweka kapuni Kama nilivyoiweka kapuni empire.

ungeendelea nayo iko vzr. Wazungu ndio walivyo inakuwa mingese mingese tu. Unataka kuniambia huwez kuangalia movie yoyote atakayocheza scofiel michael? Maana naskia nalo ni senge
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom