Series (Special thread)

Series (Special thread)

atoto hivi IF LOVING YOU IS WRONG na Jane the virgin unazicheki?..Zinaendelea

If loving you is wrong niliishia season 2 episod ya 6 kama sikosei, jane naendelea nayo, by the way how are you?
 
Last edited by a moderator:
Empire ninzuri ila ananiudhi Jamal ila nakuja kumpenda katika kipaji cha kuimba...then nilijua anaect ushoga kumbe wapi bwabwa nimemfatila instagram wanamtukana sana na yeye anapromoti ushoga ndo nikajua mshumaa!!Move ni The power ambapo kuna dada wa empire yupo huko na 50 cent sasa season 3 itakuwa nzuri ghost atatafutwa kwa mauaji ya shown na fift cent atakuwa natafutwa na tom itakuwa nzuri sana!

Nmeona tngzo mpk luda naye yupo
Jamal hta mm namkubali sana ktk kuimba hta namna pamba zke anavyopiga anasoneka ile a ishu yake ya ushoga inanikela sana araf ss hv na usagaji umekujaa
 
Mie torrent imenigomea, kila nikitaka kudownload inaniandikia "downloading file error"
sometimes torrent websites zinazingua..ila kama ni tatizo la muda mrefu try to unistall and install again utorrent..inaweza kusaidia
 
wakuu hii ni muhimu sana..kwa anaejua series yeyote ya kipoltics(ukombozi wa nchi,utawala wa mabavu,mapinduzi ya kijeshi n.k) ni mda wakuanza kujifunza sasa:banghead:
 
Mie torrent imenigomea, kila nikitaka kudownload inaniandikia "downloading file error"

Mm torrent nshaachana nayo sikuhizi nadeal na o2tvseries.com tuuu.....quality ya mp4 kulingana na simu yako...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom