Series (Special thread)

Series (Special thread)

My favourite series ever..
CRISIS
REVENGE
ARROW
AN ORDINARY FAMILY
UNDER THE DOM
THE 100
 
Wakuu niliwahi sikia James Bond ataachia movie mpya mwezi huu wa November baada ya ile ya Sky fall ya 2012;vipi imeshatoka?
 
Wakuu hii series ya The Last Ship itaendelea lini, ilikomea Season 2 ep ya 13
Na hii series naona watu wanaisifia sana; Quantico, inahusu mambo gani?

quantico inamhusu dada mmoja aitwaye Alex perish, ambaye alikuwa ktk mafunzo ya FBI na baadae akawa most wanted kwa kujihusisha na uharifu.

Itafute iko poa sana mm nmeicheki mpaka episode namba 4. Japo bado inaendelea kutolewa iliingia sokon sept 27 mwaka huu
 
quantico inamhusu dada mmoja aitwaye Alex perish, ambaye alikuwa ktk mafunzo ya FBI na baadae akawa most wanted kwa kujihusisha na uharifu.

Mkuu alisingiziwa kuhusika na tukio ya ugaidi na sio kuwa alijihusisha...

Latest episode imeanza kuonesha wahusika ni kina nani...
 
Mkuu alisingiziwa kuhusika na tukio ya ugaidi na sio kuwa alijihusisha...

Latest episode imeanza kuonesha wahusika ni kina nani...

hivi ipo hadi namba ngapi mpaka sasa?
 
msaada jinsi ya kutumia utorrent
Mkuu kama umeshainstall utorrent kwenye simu/computer yako then nenda kwenye torrent site yeyote..Mf kickasstoreent,totrentz n.k fungua kisha andika jina la movie au series unayotaka kuipakua zen click kwenye TORRENT MAGNETIC LINK au DOWNLOAD TORRENT FILE ili kudownload
 
-Nikita
-The originals
-Falling skies
-True detective
-Breaking bad
-Last resort
-24
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom