Series (Special thread)

Series (Special thread)

Wapenzi wa action series hususani martial arts...

Kuna series mpya inaanza inaitwa 'Into the Badlands', season premiere itakuwa Nov 15 ikirushwa na stesheni ya AMC (USA)...

Nimetazama trailer yake, inaonekana kutakuwa na 'mkono' wa hatari...

Hivyo kwa bongo kuanzia Nov 16 itakuwa inapakulika kwa wale wazee wa torrents...

Naisubiri...usisahau kutustua ikishakuwa kwa torrents
 
american oddsey ni bonge la series ikifatiwa na antalantis
 
Thumbs up for The Blacklist���� red ni shida
 
a wiseman can learn more from the stupid question than the stupid person can learn from a wise answer- THE BLACKLIST- Raymond noma
THE BIG BANG THEORY-sheldon cooper hatari sana, top zangu hzo kila alhamis episode mpya

Reddington and the blacklist mziki mwingine aisee dah
 
Wapenzi wa action series hususani martial arts...

Kuna series mpya inaanza inaitwa 'Into the Badlands', season premiere itakuwa Nov 15 ikirushwa na stesheni ya AMC (USA)...

Nimetazama trailer yake, inaonekana kutakuwa na 'mkono' wa hatari...

Hivyo kwa bongo kuanzia Nov 16 itakuwa inapakulika kwa wale wazee wa torrents...

Hii kitu inaonekana itakua hot sana... nshacheki episode ya kwanza sijutii muda wangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom