BancheeHeist uchawi na gangs
BancheeHeist uchawi na gangs
Hii imeshatazamwaNa hii itazamwe
Kama hujaiona hii. Bado hujapata burudani stahikiHii imeshatazamwa
Hii nineshamalizana nayo. Muvi/seties za hivi nazikubali sana.Kama hujaiona hii. Bado hujapata burudani stahiki
Nimeisheki season zote ni series kali sanaKama hujaiona hii. Bado hujapata burudani stahiki
Hawa vichaaHii nineshamalizana nayo. Muvi/seties za hivi nazikubali sana.
Lupin
Gangs of london
Withought remorse
Nikimalizia na hii hapa kwenye picha
View attachment 3113932
Unawezaje kuangalia seasons 8Nimemalizana na Game of thrones wanangu
Mkuu nimeshuka nazo kama maji nimesikitika imekuwa fupi sana aiseeUnawezaje kuangalia seasons 8
Humo kuna nini? Mimi nilipiga chini baada ya kuona kuna ndege wasio eleweka maumbo eti wanabeba watu na kuwapeleka vitani 😁😁😁Nimemalizana na Game of thrones wanangu
Tulia mkuu mwanzoni nilikuwa kama wewe lakini nikatuliza akili mkuu ni bonge moja la series watu wametuliza akili wakapanga matukioHumo kuna nini? Mimi bilipiga chini baada ya kuona kuna ndege wasio eleweka maumbo eti wanabeba watu na kuwapeleka vitani 😁😁😁
Series gani hii mkuuMzee wa Dili huyu sema mike huwa anamtuliza sana Kuna kipande alitaka kuleta fujo alivyokuja mike akawa mpole
Uzuri wake uko wapi?Tulia mkuu mwanzoni nilikuwa kama wewe lakini nikatuliza akili mkuu ni bonge moja la series watu wametuliza akili wakapanga matukio
Mayor of KingstonSeries gani hii mkuu
Ni katika series niliyoishia njiani kuicheki maana nilijaribu kuielewa lakini wapiMayor of Kingston
Itakuwa mwanangu unapenda sana action kuliko crime 🤣 😂 😁Ni katika series niliyoishia njiani kuicheki maana nilijaribu kuielewa lakini wapi
Sure nimeishia ep 7 tena mwaka jana yule jamaa anaenda kwa wahuni fulani mtaani actually niliona kama bra bra nyingi.. ila mwanzoni ukiona unaona picha si ndo hili?Itakuwa mwanangu unapenda sana action kuliko crime 🤣 😂 😁