Nimeshaicheki ni nzuri hivi series ya who killed sara? Ni kali?Na Kuna Moja inaitwa warrior itafute
Kama unapenda thriller ni itakufaa sanaNimeshaicheki ni nzuri hivi series ya who killed sara? Ni kali?
Kuna jamaa naona anaamgalia hii huyu mwamba ni noma amemaliza movie inaitwa greys anatomyπ€£π€£View attachment 3093406
Itafute mtu wangu
M mwenyew series za namna hiyo zilishanishinda kabisa.Mule nasikia kuna farasi wenye mabawa sasa sijajua raha utaipafaje kwenye series za namna hiyo.
Banshee niliangaliaga mpaka season 4 sijui kama iliendeleaga?Chelsea mwenzangu upo huku yah hiyo series ni kali kuna moja inaitwa Banshee ina story sana sema tu unakiwa usicheki na watoto
Mimi niliimaliza yote.ni series kali imalizie yote.Ushaicheki series moja ya kiitaliano inaitwa Gomorrah?
Naunga mkono hoja mfano mzuri series Yao ya the sopranosMimi niliimaliza yote.ni series kali imalizie yote.
Haina huo ugomora kisa jina lake!
Haizungumziwi sana sababu wengi washazoea vitu vinavyotrend kwa rates,za mataifa maarufu.ila series zenye mahadhi waitalia wana series kali,argentina,bulgaria,holland,belgium,germany,portugal,brazil nk kwa issues za madawa,makundi,ujajusi ndio zenyewe na utakuta hazijapewa rate kubwa ila balaa!
Hii series kalii sanaKuna jamaa naona anaamgalia hii huyu mwamba ni noma amemaliza movie inaitwa greys anatomyπ€£π€£
Iko vizuri nimeiona tu mwanzoni na hata rate zake ni 8.6 ambazo ni fairMimi niliimaliza yote.ni series kali imalizie yote.
Haina huo ugomora kisa jina lake!
Haizungumziwi sana sababu wengi washazoea vitu vinavyotrend kwa rates,za mataifa maarufu.ila series zenye mahadhi waitalia wana series kali,argentina,bulgaria,holland,belgium,germany,portugal,brazil nk kwa issues za madawa,makundi,ujajusi ndio zenyewe na utakuta hazijapewa rate kubwa ila balaa!
Nakapenda sanaHii kitu yamoto sana aisee na haka kadada kana mvuto sana yaaniView attachment 3093412
Sikumbuki maana niliicheki muda mrefuBanshee niliangaliaga mpaka season 4 sijui kama iliendeleaga?
Series nzuri sana hii π₯ πNakapenda sana
Umewahi kuiona series ya Innocent defendant ya kikoreaSeries nzuri sana hii π₯ π
Ninayo kwenye pcUmewahi kuiona series ya Innocent defendant ya kikorea
Hiyo series ilinifanya niwe nafuatilia series za koreaNinayo kwenye pc
Ni nzuri sana aisee fatilia na Moja inaitwa moving ni series piaHiyo series ilinifanya niwe nafuatilia series za korea
Sema mimi sipendi za uongo sijui kapaa, mara kapigwa ngumi manzese katua Buza kwa mpalange hizo sizifagiliiNi nzuri sana aisee fatilia na Moja inaitwa moving ni series pia