Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,236
- 79,770
Tupo season 3
Itakuwa jamaa anapenda za kupigana tu mda wote hakuna kupoa 😁🤣Nakala kwa Vincenzo Jr
"Yoo!You guyyyyyyyyyys,
Viking:Valhalla new episode is streaming today on netflix, yeeeeeeeeeey
"Hadi nimeandika kizungu, nyieeeee sio mchezo nina furaha"
Hell yeaaaahYoo!
Kweli?
Mkuu now fatilia dark matterSilo na From zinatoka lini wakuu?
Sasa kama red eye kali, Unaachaje Homeland?Nimeicheki kali mno nipe nyingine
Iko vizuri sio?Mkuu now fatilia dark matter
Ni season ngap wameachia?Hell yeaaaah
TatuNi season ngap wameachia?
Mana nishasau
Nimeimaliza bt sijaielewa labda niirudie.Shogun imepewa sifa kubwa sana kuliko uhalisia wake, Series ya kawaida sana.
Jaribu Vikings utakuja kunishukuruNimeimaliza bt sijaielewa labda niirudie.
Nimeanza moja mana nimesahau matukio yoteTatu
😂😁😁Nimeanza moja mana nimesahau matukio yote
Imepoa ki aina