The kingdom of planets of apesHakuna muvi tatu za wikendi zinazoweza kuupeleka moyo harakaharaka huku macho yasibanduke kwenye screen?
Mmhh mkuu hii mbona kama wameishia njian au itaendelea Season 4 maana imeisha kimagumashi mnoTupo season 3View attachment 3039361
wamezingua sana hawaMmhh mkuu hii mbona kama wameishia njian au itaendelea Season 4 maana imeisha kimagumashi mno
Episode 6 kitu cha kushangaza Seasmoke katafuta rider mwenyewe.. baada ya kumkataa yule jamaa😂🙌View attachment 3048029
itafute mtu wangu
Hii series inapoelekea Itakuwa kalii sana kaka yaani kalii sanaEpisode 6 kitu cha kushangaza Seasmoke katafuta rider mwenyewe.. baada ya kumkataa yule jamaa😂🙌
Now huku wako active dragon 5 wanaoendeshwa kule kabaki vhagar tu.Hii series inapoelekea Itakuwa kalii sana kaka yaani kalii sana
Sema vhagar ana nguvu sana ila sio mwepesi ngoja tuone mwisho wake 🤣😁😁Now huku wako active dragon 5 wanaoendeshwa kule kabaki vhagar tu.
Sema kuna wengine wawili hawana rider huku mkubwa zaidi vermithor...
Mbeleni inasemekana watakufa wote pamoja na caraxes.Sema vhagar ana nguvu sana ila sio mwepesi ngoja tuone mwisho wake 🤣😁😁
Yule si alikuwa wa Prince Daemon ila wakikutana Itakuwa balaa Vermithor is faster than Vhagar but Vhagar's fire is more powerfulMbeleni inasemekana watakufa wote pamoja na caraxes.
Kuna vermithor.. mkubwa kama yeye angeweza kumchalenge sema hana rider.
Wote pamoja na Aemond watakufa inasemekana.Yule si alikuwa wa Prince Daemon ila wakikutana Itakuwa balaa Vermithor is faster than Vhagar but Vhagar's fire is more powerful
Sema yule dogo adam naona kachaguliwa na seasmoke sijui why dragon kamchagua huyu dogo ngoja tuone episode ya 7 jumatatuWote pamoja na Aemond watakufa inasemekana.
Wacha niruke nayoHii series kalii sanaView attachment 3049011
Kalii sana kama uliicheki season 1 now tupo ya season 2 mkuuWacha niruke nayo
House of dragon inataka utulivu..nimeangalia sean ya 1 episode 1 tu...wacha nitaendeleaHii series kalii sana 🔥View attachment 3049011
Ngoja tuone maana wengi imetuacha njia panda. Tena ajabu seasmoke kamchagua mwenyewe.😂🙌Sema yule dogo adam naona kachaguliwa na seasmoke sijui why dragon kamchagua huyu dogo ngoja tuone episode ya 7 jumatatu
Kabisa kaka aisee hii series kalii sana kule napo daemon anazidi kuona hallucinateNgoja tuone maana wengi imetuacha njia panda. Tena ajabu seasmoke kamchagua mwenyewe.😂🙌