Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,241
- 79,800
Ulikataaaa hiyo 😅😁😁Person of interest nimeipenda description yake ngoja nimalizane na Power kisha nitaianza hiyo
Ulikataaaa hiyo 😅😁😁Person of interest nimeipenda description yake ngoja nimalizane na Power kisha nitaianza hiyo
Itafute Ina story nzuri sanaNiliona mwanzoni tu, watu wana uana tu, Nika achana nayo.
Sema Ina rating kubwa
Tena nakumbuka nili wekega post yake hap, Jamaa aka bisha 😂😃Ulikataaaa hiyo 😅😁😁
Nakumbuka kaka 😂😁😁😁 Leo hiii ana isifia 😂😁😁😁😁Tena nakumbuka nili wekega post yake hap, Jamaa aka bisha 😂😃
Kaka wewe endelea lusikiliza ngoma za kina ja rule tu, pigo za Eminem SI uli zi pondea😃.Person of interest nimeipenda description yake ngoja nimalizane na Power kisha nitaianza hiyo
Basi tumwombee msamaha kwa director 😃😆Nakumbuka kaka 😂😁😁😁 Leo hiii ana isifia 😂😁😁😁😁
Kabisa naunga mkono hoja series nzuri sana ileeeBasi tumwombee msamaha kwa director 😃😆
Mwenye link ya ku download hii movie naomba aiweke hapa View attachment 2975710
Sio kweli MzeeUlikataaaa hiyo 😅😁😁
Mzee USI bishe, nili weka post Humu, Tena uka sema hakuna kitu hapo.Sio kweli Mzee
MnanisingiziaKaka wewe endelea lusikiliza ngoma za kina ja rule tu, pigo za Eminem SI uli zi pondea😃.
Nakumbuka nili sema Humu, ila uka sema ni series mbovu mno, Leo Kiko wapi 😆
Utakuwa umechanganya IDMzee USI bishe, nili weka post Humu, Tena uka sema hakuna kitu hapo.
Mkuu nili sema home land na person of interest mzee.Mananisingizia
Nyie mlisema Homeland bana
Kaka iweje tuchanganye I'd wawili😀Utakuwa umechanganya ID
Alooo! Basi nilifanya makosa makubwa sana siku hiyoMkuu nili sema home land na person of interest mzee.
Tena uka sema kazi zote hizo mbovu kinyama 😀 😂
😂😅😁😁😁😁😁😁😁😁😁🤣🤣Sio kweli Mzee
Baelezee 😁😂🤣 baambieKaka iweje tuchanganye I'd wawili😀
Kaka tuta kuombea msamaha kwa producer na director 😃 🤣 😁Alooo! Basi nikifanya makosa makubwa sana siku hiyo
Bata elewa tu, hata kwa bututu ya bunduki😁😀Baelezee 😁😂🤣 baambie
Exactly 💯 mie Leo nairudia Tena kaka mukubwaBata elewa tu, hata kwa bututu ya bunduki😁😀