Mwananchi B
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 2,050
- 4,602
Demon Slayer : The Hashira Training imetoka?Owaa nina Japan anime kaka
Solo Leveling
Demon slayer
Makonouchi 🙌🙌🙌🙌 weekend itakuwa fupi sanaa
Demon Slayer : The Hashira Training imetoka?Owaa nina Japan anime kaka
Solo Leveling
Demon slayer
Makonouchi 🙌🙌🙌🙌 weekend itakuwa fupi sanaa
Bado Hawajaiachia official kwa sisi wengine ila inaoneshwa kwenye cinemax kwa sasa tangu mwezi wa piliDemon Slayer : The Hashira Training imetoka?
Kaka weekend Isha Anza Leo😂😁, kesho muungano🤣Owaa nina Japan anime kaka
Solo Leveling
Demon slayer
Makonouchi 🙌🙌🙌🙌 weekend itakuwa fupi sanaa
Zenitsu AgatsumaBado Hawajaiachia official kwa sisi wengine ila inaoneshwa kwenye cinemax kwa sasa tangu mwezi wa pili
Nimezikumbuka harakati za mwanangu Tanjiro na akina zenitsu nipo nailudia hapa
Hizo nyingine mbili hapo juu umezichek??
Mzee wa thunder breathing first form..Zenitsu Agatsuma
Ha ha ha
Bwana mdogo anapigana kakamasi kale kakiwa kanabembea puani.
Hizo zijazicheki, vipi ni kali?
Weekend kaka imeanzaKaka weekend Isha Anza Leo😂😁, kesho muungano🤣
Kaka Nime enda home Mara 1, Kuna ka party kidogo😆😁Weekend kaka imeanza
Kunywa usilewe kaka😂Kaka Nime enda home Mara 1, Kuna ka party kidogo😆😁
Kaka sinywagi Wala kuvuta bhangi au sigara😂🤣Kunywa usilewe kaka😂
Kwa hiyo wewe unakunywa maji na kuvuta Oxygen tuu😂Kaka sinywagi Wala kuvuta bhangi au sigara😂🤣
Ehh kaka😁Kwa hiyo wewe unakunywa maji na kuvuta Oxygen tuu😂
Dogo hataki Mchezo na Nezuko.Mzee wa thunder breathing first form..
Ninapoona watakuja kudate na Nezuko
Hizo pia Ni kali sana
Zitafute utanipa feedback
Hongera kaka nikiwa mkubwa nataka niwe kama weweEhh kaka😁
Mkwe huu uchawi Sasa😁🤣Hongera kaka nikiwa mkubwa nataka niwe kama wewe
Walipoishia wamewateka wengi nchi walizoonesha Hashira Training wamepiga sana hela...Dogo hataki Mchezo na Nezuko.
Ila mfano akija Ku master Forms zote atakua very deadly. Anaweza kuwa ndio the strongest Hashira kwenye generation yao.
Ngoja nizicheki na hizi taleta feedback
Ujugu unalalamika huu ni uchawi😂Mkwe huu uchawi Sasa😁🤣
We pimbi mwenye ndevu ka steel waya, hebu tuliza fuvu lako😂Ujugu unalalamika huu ni uchawi😂
Sasa ndevu zangu zimekukosea nini kaka😂😂😂We pimbi mwenye ndevu ka steel waya, hebu tuliza fuvu lako😂
Kwanini uni ite ujugu🤣😂Sasa ndevu zangu zimekukosea nini kaka😂😂😂
😃😃😃Sasa si ndugu yako mnafanana manenoKwanini uni ite ujugu🤣😂