Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 50,169
- 123,310
Hii series gani nimeona mwana mtaani anaipa promo ila kwakua namjua sio mtu wa vitu vikali nikampotezea.shogun imeisha wakuu series zinazofuata vitabu zinakuwaga kalii sana
Ebu niambie kwanza ni Hollywood au ndio Bollywood wazee wa minyoka.