Series (Special thread)

Series (Special thread)

nenda kwa pembeni ingia upande wa series
Screenshot_20240429-155202.png
 
Kile kipande kilinisikitisha sana ila kabla ya hapo bagwel alinichekesha sana ku pretend yeye ndie mmiliki wa ofisi alipopokea wageni halafu vishindo vya nyundo kule chini anashindwa afanyeje kiti cha moto 😁
Sema Ali piga speech Fulani ya moto, Ali tumia historia ya kutapeli na ujambazi, kushawishi wateja watoe hela 😂 😂.

Huyo mjinga ana tamaa, kazi na nyumba Ali pewa, tamaa za mkwanja zika mponza 🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom