Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,407
- 28,836
Pole,Nmetoka kuitazama Tenet, aisee hebu mtu anielezee inahusu nini hii muvi mana nmetoka patupu Kwa kweli, nataka niirudie Tena.
Malalamiko ya hiyo filamu hata humu ndani ni mengi mno, kuna mtu kaielezea humo ndani unaweza pata japo ka idea...!!
Msaada kuhusu movie ya TENET
WAKUU MPO POA Leo nilikuwa na watch movie inaitwa TENET. Kusema la ukweli hii movie sijaielewa. Ningependa kwa mkuu aliyebahatika kuiangalia just anipe hata kasummary kidogo kuhusu hii movie.