Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,098
- 10,449
Mpaka sasa hakuna show kali zaidi ya hii kwenye sayari yetu, labda tuendelee kusubiri huenda huko mbele wajukuu zetu wakafanya kitu.Wakuu nimeamua kurudia Breaking Bad kwa mara ya pili
Aisee hii ni series moja matata sana View attachment 2962780View attachment 2962781View attachment 2962782