Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kaka hii site mbona inasumbua
Wewe ndio unasumbua 😁😁😁 eleza umekwama wapi usaidiwe
Screenshot_20240402-220658.png
 
Screenshot_20240403-191040.jpg
 
itafuteni


Ni dubbed Cc Mr Q
Gyeongseong Creature (2023) Episode 00 ### POSTER 2.jpg
 

Series za leo
Screenshot_20240407-172342.jpg
 
INNOCENT DEFENDANT

Korea drama series inamuhusu jamaa anajikuta yupo jela na hana kumbukukumbu yoyote iliyomfanya awe uko but inadaiwa aliua familia yake je ni kweli alifanya hivyo na kama sio yeye nani kafanya?
Ukija upande wa pili kuna mapacha wawili wanafanana sana wenye sifa tofauti mmoja mpole, mwenye akili mwingine ni mkorofi sasa jamaa ana wivu na pacha wake kutokana na kupewa majukumu ya kusisimamia familia kibiashara so anaamua kumuua na anachukua identity ya pacha wake kwa kuuvaa ile sifa alizonazo je jamaa ataweza kuimili hiyo nafasi?

PLAY ROLE

Hii ni movie ya kizungu jamaa amebahatika kuwa na ndoa na mke wake kwa muda mrefu na wameweza kupata mtoto but kuihalisia pamoja na jamaa kuishi muda mrefu na mke wake ameshindwa kujua identity ya mke wake, ni mtu wa aina gani? Nini kipo nyuma ya hiyo siri ni ipi?

ESCAPE PLAN

Ni movie ya Rambo inahusiana na jamaa amekuwa akifanya kazi ya kuingia jela na kutoroka ili kujua maudhaifu wa magereza sasa anajikuta anasalitiwa na boss wake wakitengo anapelekwa kwenye gereza ambalo hakupangwa mtiti anaoenda kukutana uko sio poa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom