Series (Special thread)

Kama ulipenda from paris with love yule bwana anakuja na nyingine inaitwa cash out namfananisha na jamaa mmoja kwenye muvi siikumbuki jina anapata msala njiani akielekea kwenye msiba wa mama yake na hivyo kuficha huo msala analazimika kuficha mwili kwenye jeneza ambalo mwili wa mama yake umo😊😊

Wazikaji wanashangaa mbona leo jeneza zito huku dreva aliye beba mwili wa marehemu anastuka kusikia mlio wa simu ukiita ndani ya jeneza kumbe ule mwili uliofichwa ndani ya jeneza ulikuwa na simu na hivuo wenzake walikuwa wanampigia kujua yuko wapi maana haonekani... 😁😁😁

Naomba mnikumbushe jina la hiyo muvi

View: https://youtu.be/lEtb3yEy2K0?si=x2oAxJrhMabrW2xY
 
Kazi za leo
Screenshot_20240328-124836.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom