Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 50,166
- 123,287
Berlin S01E01Uki pata link, share tuishi nayo
Berlin S01E02
Berlin S01E03
Berlin S01E04
Berlin S01E05
Berlin S01E06
Berlin S01E07
Berlin S01E08
Berlin S01E01Uki pata link, share tuishi nayo
Ukimaliza lete feedback mie naona uvivu kuicheki hapa sijui ni kalii au miyeyushoZanzibar imepaishwa hukuView attachment 2857768
Ni kali sana nipo episode ya nne sitaki kwenda nayo kasi nahofia kumaliza uhondo halafu mwisho wa siku nianze kusubiria Season 2Ukimaliza lete feedback mie naona uvivu kuicheki hapa sijui ni kalii au miyeyusho
Nimeimaliza niMoney Heist tulikuwa na Bella ciao
Kwenye Berlin ni mwendo wa "Felichita"
Hapa ingeongezeka na verse yeyote ya hip hop ingenoga sana
View attachment 2857912






Lugha ni ya akina charles william au ni ya akina fernandes?
Jamaa hawajawahi kuwa na kazi mbovu ni joma sanaNimeimaliza ni![]()
Lugha?Jamaa hawajawahi kuwa na kazi mbovu ni joma sana
Nimebakiza episode moja ila naogopa kuimalizia nahofia alosto
YesLugha ni ya akina charles william au ni ya akina fernandes?
Kuna mbili nilizibahatisha zilikuwa na dubbed lakini hata hivyo mimi napenda taste halisiLugha ni ya akina charles william au ni ya akina fernandes?
Mimi sipendi kuchoma macho na kuchosha ubongo kusoma subs. Weka link hapa ya dubbed <720p sio ile mizigo yako ya FULL HD 😂😂🤣🤣Kuna mbili nilizibahatisha zilikuwa na dubbed lakini hata hivyo mimi napenda taste halisi
Yale mambo ya kuangalia Series halafu unaona character maneno anayoongea hayaendi sambamba na lips zinavyocheza ndio kitu ambacho kinanitoa stimu
Mi naangalia kupitia version halisi halafu napenda pia accent ya kispanish ina sound vizuri
Hapo nimeuliza ikiwa kuna kimalkia au ni lugha tofauti?
Za dubbed bado hazijawekwa zoteMimi sipendi kuchoma macho na kuchosha ubongo kusoma subs. Weka link hapa ya dubbled <720p sio ile mizigo yako ya FULL HD 😂😂🤣🤣
Hiyo 3GB inatakiwa nikombe karibia episode zote 😀😀 ikitoka naomba link ili nami.ni enjoyZa dubbed bado hazijawekwa zote
Na zilizopo ni 1080 yani episode moja inaweza gonga hadi 3GB
View attachment 2858302
Oya waspaniola mafundii sanaPedro Alonso Ft Tristan Ulloa - Felicidad
View attachment 2858433