Series (Special thread)

Series (Special thread)

Mimi sipendi kuchoma macho na kuchosha ubongo kusoma subs. Weka link hapa ya dubbled <720p sio ile mizigo yako ya FULL HD 😂😂🤣🤣
 
Hizi sites zenu mnaziwezea wenyewe

Hizo links mbona hazitoi option ya kuchagua resolution?
Mbona zipo
Screenshot_20231231-235307.png
 
Wenye bando la mawazo waipakue hapa
Aaah sasa na nyie mtakuwa mna utani

Episode kutoka 3GB imekuwa reduced mpaka kwenye 122MB hivi mnaona kweli kinachooneshwa?

Capacity ya 122MB kwa resolution hiyo sio 244 kweli??



Screenshot_20240101-010702.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom