Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,255
- 79,846
The 100Hii nayo linaitwaje? Muwe pia mnaandika na majina
The 100Hii nayo linaitwaje? Muwe pia mnaandika na majina
Kwa kweli dah! Ninausahaurifu pamoja na kuiangalia hiyo series lakini nimeshindwa kuwatambua hao labda kwasababu niliicheki kitambo sanaThe 100
Man hutaki kuchelewaReacher s02 episodes 3 za utangulii hizo
View attachment 2845109
Ngoja nizichukulie telegram bila popups wala vikwazoReacher s02 episodes 3 za utangulii hizo
View attachment 2845109
Nyie mnaosubiri mpaka januari endeleeniMan hutaki kuchelewa
Nimesha anza kuishushaNyie mnaosubiri mpaka januari endeleeni
Hamjui huu mwisho wa mwaka kuna madude mengi yanaachiwa afu yote makali.
Yani kwa makadirio kwa hizo 243MB ni sawa na ratio ya 720 ile ya mwishooooooniiNgoja nizichukulie telegram bila popups wala vikwazoView attachment 2845120
Nikupe link ya pirate uichukue kwa 1080?Nimesha anza kuishusha
720 inatosha MB kibaba situmii waifaiNikupe link ya pirate uichukue kwa 1080?
😂😁🤣Yani kwa makadirio kwa hizo 243MB ni sawa na ratio ya 720 ile ya mwishoooooonii
Yani resolution ya 960x720 kimsingi inayokaribiana na 480p
Unataka kusema the family plan tayari HD ipo kitaa?
Ndio kakaUnataka kusema the family plan tayari HD ipo kitaa?
Nimesha uchukulia huko telegramNdio kaka
Mwamba humu aliwala sana vichwa mademu zake nzuri sana hiiShould watch! View attachment 2846975