Series (Special thread)

Series (Special thread)

Screenshot (162).png

Hawa mademu wanabalaa sana
 
20231214_163242.jpg

Kim alipokuwa mdogo, Mama yake alifariki kutokana na kipigo kutoka kwa muhuni mtaani tena bila kosa. Huyo muhuni akafungwa miaka 03 na nusu then alipotoka akaendelea na uhuni.

Baadae dogo anaamua kuanza kushikisha adabu wale masela mavi na wahuni wote ambao wanavunja...

sheria then sheria hiyo hiyo inawatetea. Mzigo una episodes 08 tu 💪, dogo anadunda huyoo!
Credit by fahamu movie
 
Screenshot_20231215-131957.png

Before I leave this cel.. Our friendship goes with it.

Hapa mzee ambaye rafiki yake kipenzi ni "nyau" humo gerezani akichimbwa mkwara ili ataje aliye muuwa askari mwenzake Aitwaye Bob na huyo msaidizi wa mkuu wa magereza kwenye prison break. Anaye onekana pichani.

nimeamua kuirudia prison break and dont ask me why 😁😁😁😁
 
View attachment 2843254

Bado tu upo na PB?

Au ndio wale wa kurudia series?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom