Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 20,996
- 46,723
Nimeanza season 1 now nipo episode ya 9 and things have just escalated hapa there is no turning back 😁😁😁Bado tu upo na PB?
Au ndio wale wa kurudia series?
Nimeanza season 1 now nipo episode ya 9 and things have just escalated hapa there is no turning back 😁😁😁Bado tu upo na PB?
Au ndio wale wa kurudia series?
Ni chuma sana hii ,jamaa liteseka sana kule gereza la sonaView attachment 2843254
Before I leave this cel.. Our friendship goes with it.
Hapa mzee ambaye rafiki yake kipenzi ni "nyau" humo gerezani akichimbwa mkwara ili ataje aliye muuwa askari mwenzake Aitwaye Bob na huyo msaidizi wa mkuu wa magereza kwenye prison break. Anaye onekana pichani.
nimeamua kuirudia prison break and dont ask me why![]()
si ndo ile jamaa alimfira mwenzake kisa pesa!Season za madawa ya kulevyaView attachment 2841300
hii mojawapo ya movie bora kwangu
Ni yenyewe 🤣🤣🤣si ndo ile jamaa alimfira mwenzake kisa pesa!
ilikera sana ikafanya nisiendelee nayo
kile ki episode kilinifanya nikaiacha mazima kuicheki ile movieNi yenyewe 🤣🤣🤣
Walizinguakile ki episode kilinifanya nikaiacha mazima kuicheki ile movie
Ngoja niitafuteNi balaa the killing voteView attachment 2842546
Inahusu nini?
Ndugu wawili wanapiga dili la hatari na mob mmoja ya kumsaidia kupenyeza mzigo wake, familia yao ilikua inajihusisha na biashara ya fishing.Inahusu nini?
Huyu dada mbona ni Mzuri hupo kwenye movie ipi
Hii nayo linaitwaje? Muwe pia mnaandika na majina
Yupo kwenye series ya the 100Huyu dada mbona ni Mzuri hupo kwenye movie ipi