Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,111
- 95,782
Kaka una kosa vitu vikalo, Kuna chuma naendelea nacho ni 🔥🔥,Za kichina sio zangu mkuu
👉Sijui Kama adriz ana zielewa za kichina, wavaa mapazia
Kaka una kosa vitu vikalo, Kuna chuma naendelea nacho ni 🔥🔥,Za kichina sio zangu mkuu
Ndio season 2 na itamwagika damu kuliko season 1Hi ni jack reacher season 2 au??
Vitu gan kwamfanoHamna kitu Hapo vitu laini hata wewe unaweza kufanya
Mkuu hizi ni za kustream online tu mbona kidownload zinagomaSites nyingi mfano
1. Fmovies IDM
2.Flixer IDM
3. Seez IDM
4. Yts IDM/uTorrent
5. Eztv IDM/uTorrent
6. Piratebay IDM/uTorrent
7. 123Movies IDM
Ukitaka ku download kupitia Simu basi uwe na application hii hapa 1DM
Ukiwa na application hiyo utaqeza kupakuwa video yeyote kutoka kwenye site yeyote (isipokiwa video za YouTube hai detect)
Lakini pia kwa application hiyo utaweza kupakua chochote kwenye uTorrent kwa mfumo wa magnetic.
Kama ni kwa mtumiaji wa PC basi atatakiwa kuwa na IDM na uTorrent.
Ndio maana nimesema uwe na IDMMkuu hizi ni za kustream online tu mbona kidownload zinagoma
Embu nielekeze maana nikiiingia naaanglia tu link ya kupelela idm inagoma embu nipe elimu kakaNdio maana nimesema uwe na IDM
Na link ya IDM nimeweka hapo
Sasa tumia site yeyote katika zile nilizoweka na wewe ukasema ni za ku streamTayari kaka nipe link nataka nikashushe the 100 season 5
Sasa tumia site yeyote katika zile nilizoweka na wewe ukasema ni za ku stream
No sio hivyoView attachment 2836295
Kaka hapo nafanyaje sasa
Ukiifungua 1DM utabonya hapo kwenye hiyo icon ya 🌍 nikiyoizungushia duaraView attachment 2836295
Kaka hapo nafanyaje sasa
Ukiifungua 1DM utabonya hapo kwenye hiyo icon ya 🌍 nikiyoizungushia duara
Hapo itafunguka browser ambayo ndio utaweka link yako ya site
Ila kwenye download nikibinya naona sielewi hapaUkiifungua 1DM utabonya hapo kwenye hiyo icon ya 🌍 nikiyoizungushia duara
Hapo itafunguka browser ambayo ndio utaweka link yako ya site
Ili uweze kudowload unatakiwa u play hiyo video kisha hiyo download bar ita detect hiyo video utaona ime change rangi na kuwa nyekundu pamoja na numberIla kwenye download nikibinya naona sielewi hapa
Charles kilianIli uweze kudowload unatakiwa u play hiyo video kisha hiyo download bar ita detect hiyo video utaona ime change rangi na kuwa nyekundu pamoja na number
Mfano uki play hiyo video chagua resolution unayoitaka ikisha load tu angalia download button utaona ime catch. Uki bofya hiyo download button utaona list ya resolution ya hiyo video.
So lets say video ulipo play mwanzo ilikuwa na automatic Quality ambayo ilikuwa ni 360 halafu baadae ukaamua u change kuwa 720 au 1080 basi kwa kufanya hivyo ile download button itakuwa ime catch Quality zote
So ukibofya hiyo download button utaona list ya video Quality zote pamoja na size zake
Hapo ku download ni one click tu
Nitaweka hapa video ya maelekezo ila kwa sasa mtandao wa Airtel unasumbua so hata internet imekuwa ya on and off
Hakika darasa nimelielewa sasa muvi ya last resort ijiandae ngoja nichange quality kwanza nilifanya majaribio kwenye 360