Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 50,166
- 123,288
Nakumbuka kama nilikuwekeaNdugu zangu link ya hii muvi bado sijaipata
View attachment 2834141
Nakumbuka kama nilikuwekeaNdugu zangu link ya hii muvi bado sijaipata
View attachment 2834141
Amazing brother. Shukrani
Hii nilipambana nayo ikagoma kabisa sijui shida nini
Change server tumia server 2 inakubaliHapa nilishindwa kui captur
Hii nilipambana nayo ikagoma kabisa sijui shida nini
Hii uifananishe na kaleidoscopeBreaking bad ikasome apaView attachment 2834427
Hivi breaking bad iliwarogea nini?Hii uifananishe na kaleidoscope
Usiipambanishe na mwamba breaking bad. Hii ni level zinginena ina ladha ya kipekee
Star kufa sio mwisho mbaya tatizo umezoea kuona protagonist anakuwa hero siku zote. Kumbuka kuna kitu kinaitwaHivi breaking bad iliwarogea nini?
Au walikuwa na best marketing team.
Hivi kwenye BB Kuna twist yoyote kwenye story?
Hivi Climax ya BB ni wapi?
Na season 5 ilikuwa season boring na mbaya kuliko zote, plus Star akafa.
Ndo utumbo gani huu sasaBreaking bad ikasome apaView attachment 2834427





Nipo hapa, binti chuga DepalUkwapi 😂😂 Intelligent businessman
Dada yangu 😂 🤣 wiki hii napata Raha sana Kuna series inaitwa the 100 inanipa sana Raha nipo season 4 now
😂 ni ya watu gani?Dada yangu 😂 🤣 wiki hii napata Raha sana Kuna series inaitwa the 100 inanipa sana Raha nipo season 4 now