Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hii nilishaangalia nikarudia na kurudia.
Mnawezaje kuangalia series zaidi ya mara moja mbona hii mimi kwangu inanishinda?

Mi labda niangalie highlights yani vipande vipande vile vyenye scenes zilizo nikosha.

Lakini kuanza upya season 1 episode 1 mpaka unamaliza series yote huku ukijua kila tukio linalofuata mbona haileti mzuka kabisa....
 
Siku Zikibaki series za mashoga utarudi kuangalia breaking bad upya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom