mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,269
- 71,931
Huyo black noir vp tenaBalaa hili
Kuhusu Homeland hauko peke yako
We're in this together
Mule huwa unaenda kuangalia nini🤤🤤🤤Kweli kwenye macho ya kuangalia series tunatofautia me hio homeland nmeirudia mara ya tatu sasa
🤣🤣🤣🤣Kaka unaijua the 100 ni balaa hata hiyo homeland ni kalii kama unapenda ujasusiMule huwa unaenda kuangalia nini🤤🤤🤤
Weka link chap🤣🤣🤣🤣Kaka unaijua the 100 ni balaa hata hiyo homeland ni kalii kama unapenda ujasusi
Bora hata pumbaExpendables 4 ni pumba.
Hiyo Special Ops ni ya hovyo sanaOngezea na hizi zote ni spy series
Berlin station
Blacklist
Hanna
Special ops lioness
Hamilton
Mi nataka irudia yote, prison break, person of interest, homelandJamani breaking bad ni, jime maliza season 5 ndani ya siku 3
![]()
USI linganishe pumba na vitu vya kijinga😃😂😂, sokoa kafa kijinga, scenes ni 4 tu😃😂🤒Expendables 4 ni pumba.
Breaking bad mwishoni Kama ili POA hivii,Mi nataka irudia yote, prison break, person of interest, homeland
Hiyo homeland ngoja nikatafute ushauri kwa ScarsThe wire, board Walk empire, mad men, home land ni 🔥🔥
Charles kilian, HIMARS, adriz, Mvaa Kobazi, Dream Queen, Depal, mshamba_hachekwi, Mr Q
Dah Kaka 🤣😂😂, vipi kuhusu the wire, na mad men ??Maoni yangu bado ni yaleyale
Mara kumi niangalie Game of love ya Geff
Series za zaman mno dah hadi uvivu kuzitafutaDah Kaka 🤣😂😂, vipi kuhusu the wire, na mad men ??
Breaking bad ya lini??, Prison break ya lini??Series za zaman mno dah hadi uvivu kuzitafuta