Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,090
- 95,746
Kaka hiyo kitu siwezi kabisa, tena Niki taka kurudia Akili yangu Ina nionyesha matukio yote aisee🤒.Mnawezaje kuangalia series zaidi ya mara moja mbona hii mimi kwangu inanishinda?
Mi labda niangalie highlights yani vipande vipande vile vyenye scenes zilizo nikosha.
Lakini kuanza upya season 1 episode 1 mpaka unamaliza series yote huku ukijua kila tukio linalofuata mbona haileti mzuka kabisa....
Nina condition ya kukumbuka matukio hata yawe ya miaka 20 iliyo pita