Series (Special thread)

Series (Special thread)

Nina vipande vi 3 hapa hata kimoja bado sijakimaliza naona kama imepoa haina lolote
Nimemaliza episode 1 bado naona sielewi elewi

Players walioshindwa mchezo na kuamuliwa kuwa eliminated naona reaction zao zipo kawaida tu yani ni kama hakuna kuuliwa

Hizi Remake hizi sometimes miyeyusho walianza Korea na Money Heist nao UK wamekuja kurudia makosa yaleyale.

Ngoja kesho nijikaze kibishi nimalizie episode 2 labda kutakuwa na kitu ambacho director amekificha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom