Series (Special thread)

Series (Special thread)

Vere mene thank you kwako ulietoa hii suggestion huko juu.

Ni kali sana
JamiiForums-1711784877.jpg
 
Kwa nini mkuu?

Yani challenge ya kwanza,kule uwanjani wanakuwa eliminated sio kama vile squid game original jinsi wanavyokufa ila huku sioni ile suspense.Labda nivumilie challenge zingine ila hii ya kwanza haina ile kuuwawa kwa kutisha ni kama hamna kifo kwa washiriki.
 
Sawa mkuu mm ndo nataka niichukue.
 
Yani challenge ya kwanza,kule uwanjani wanakuwa eliminated sio kama vile squid game original jinsi wanavyokufa ila huku sioni ile suspense.Labda nivumilie challenge zingine ila hii ya kwanza haina ile kuuwawa kwa kutisha ni kama hamna kifo kwa washiriki.
Nyinyi hiyo ni reality show sio maigizo kama ya Squid game naona wengi mmeyatimba mkidhani ni maigizo
 
Yani challenge ya kwanza,kule uwanjani wanakuwa eliminated sio kama vile squid game original jinsi wanavyokufa ila huku sioni ile suspense.Labda nivumilie challenge zingine ila hii ya kwanza haina ile kuuwawa kwa kutisha ni kama hamna kifo kwa washiriki.
Wakorea walete squid yao tu. Hii naona ni ujinga hata mimi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom