Series (Special thread)

Series (Special thread)

Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.

Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.

Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.

1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead

Hizo ni baadhi tu..

UPDATES ZA SERIES TOFAUTI KUTOKA KWA WACHANGIAJI KWENYE THREAD.
New tv series nnazozipenda.

1.The last kingdom
2. Narcos
3. Quantico
4. Blindspot
5. The bastard executioner
6. Limitless

7. Jessica Jones
8. The Returned
9. Tyrat
10. Power
Ok
 
Hivi kuna muvi inasisimua kama SAW X 2023 recently?
Nimeishia pale wanarushiana utumbo wa mwenzao ili utumike kama kamba nitaendelea nayo baadae ngoja kwanza nipumzike.
😄😄😄
Kabisa kile kipande ni hatari sana
 
Kuna muvi nyingine kama hiyo?
Ambayo haina u super natural power yaani matukio anhalau ni halisi. Watu wana feel pain kama hivyo
Zipo kibao kaka kuna The Boy,Happy Death Day 2U,Hannibal,The Belko Experiment,Escape Room,it, scream,Texas Chainsaw Massacre
 
Ni series
Kama ni hii basi movie sio series
IMG_20231028_143755_660.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom