Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,255
- 79,847
Na kuna banshee kaka watu wanalamba hadi papaIle mizagamuo ya strike back umeisahau kaka
Na kuna banshee kaka watu wanalamba hadi papaIle mizagamuo ya strike back umeisahau kaka
Vile vipande vya ep ya kwanza na vipande vya wale lesbianIle mizagamuo ya strike back umeisahau kaka
hayo hatuyaiti hivyo sasaVile vipande vya ep ya kwanza na vipande vya wale lesbian
Ni ya kijasusi?Na kuna banshee kaka watu wanalamba hadi papa
NdioNi ya kijasusi?
🤣hayo hatuyaiti hivyo sasa
Nitaruka nayoNdio
Hayo ni maujinga
KabisaHayo ni maujinga
Ile mizagamuo kwenye POWER season 1 aiseeee 🔥🔥🔥Kabisa
Ni hatari kaka sio powa na kuna ya yale ya kwenye games of thrones ni hatari na kuna viking piaIle mizagamuo kwenye POWER season 1 aiseeee 🔥🔥🔥
Ni kali ichekiHiyo LUPIN sijawahi hata angalia
Ntaanza na Banshee kaka naambiwa ina vitu vizuriNi kali icheki
Anza nayo kuna mademu wazuri sana mixer mizagamuano ya kwendaNtaanza na Banshee kaka naambiwa ina vitu vizuri
Ni drama au actionAnza nayo kuna mademu wazuri sana mixer mizagamuano ya kwenda
Banshee ni moja kati ya series kali sana kuanzia story mpaka mtiririko wa matukio yah ni vizuri ukaanza na hii ndio Lupin ifuateNtaanza na Banshee kaka naambiwa ina vitu vizuri
Ina action mkuu ya maana na story kaliNi drama au action
Leo leo naitafutaIna action mkuu ya maana na story kali
Mi series episode ya kwanza awagongani naipga chini nipe nyingnesehemu gani chief