Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 5,090
- 9,425
Hahahaha ni balaaMi series episode ya kwanza awagongani naipga chini nipe nyingne
Hahahaha ni balaaMi series episode ya kwanza awagongani naipga chini nipe nyingne
Hahahaha ni balaa
Strike back je?Yan series zangu
Game of throne
Viking
Power
Banshee
You
Outlander
Spartacus
Sister
Sex Education
Sex/life
Hii ni noma na nusu pia Kuna night shift, shooter na blindspotStrike back je?
The warrior. Hatari sanaNipen series kali ya Action ila ina mizagamuo ,history old view
Umeangalia yenye subtitle au ulipata yenye lugha mbili?Nimeimaliza LUPIN , nianze GEN V japo mambo ya kusubil episode siyataki
Subtitles, sometimes kuangalia movie huku imefanyiwa dabbed naona haina radhaUmeangalia yenye subtitle au ulipata yenye lugha mbili?
Oh sawa subs zinanichosha sanaSubtitles, sometimes kuangalia movie huku imefanyiwa dabbed naona haina radha
Single movies?Zitafuteni izo ni kalii sanaView attachment 2788434
NdioSingle movies?
Wi fi yako ina kasi ya kuridhisha full makamuzi.Zitafuteni izo ni kalii sanaView attachment 2788434
Kaka ni ya airtel unlimited hiyoWi fi yako ina kasi ya kuridhisha full makamuzi.
Ni hizi za kufungu ofisini na majumbani? Ni kampuni gani hao
Sh ngapi kwa mwezi na ni line hizi hizi au kuna namna nyingine?Kaka ni ya airtel unlimited hiyo
Sh ngapi kwa mwezi na ni line hizi hizi au kuna namna nyingine?
Kwa sisi wadau wa muvi hii ni nzuri
Kabisa inatufaa sana mie natumia hadi nachoka naamua kuangalizia miziki youtubeKwa sisi wadau wa muvi hii ni nzuri
Nitawasiliana nao kwa sasa nipo na bando la kawaida nachuku kipande kimoja cha lupin nione yaliyomo yamo?