Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kalii
Nitawasiliana nao kwa sasa nipo na bando la kawaida nachuku kipande kimoja cha lupin nione yaliyomo yamo?View attachment 2788628
Sana mie ninayo yote hiyo kaka
Screenshot_20231021-232717.jpg
 
Nipen series kali ya Action ila ina mizagamuo ,history old view
Haya mambo ya mizagamuo wanaharibu sana kwenye series,mie sipendi kabisa,picha za ngono zipo nyingi sana ,kama mtu anataka hayo aendo porn huko.
Sasa unakuta wameweka mara ushoga mara hiki,mara mizagamuo hovyo kabisa ,mie huwa nakereka sana .

Tatizo hata waandaaji nao ni mashogo wangi,
 
mizagamuo haina shida ,,,shida ni hayo maujinga yao ya ushoga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom