Anti-monitor
JF-Expert Member
- May 14, 2022
- 510
- 773
I can't wait huu mzigo ni balaainasubiriwa kwa hamu sana
View attachment 2783127
I can't wait huu mzigo ni balaainasubiriwa kwa hamu sana
View attachment 2783127
Mnapendeaga nini kaangalia hizi katuni?inasubiriwa kwa hamu sana
View attachment 2783127
Kuna katuni za watoto, wakubwa, na za marika yoteMnapendeaga nini kaangalia hizi katuni?
Kwahiyo mnafurahia mnavyoangalia wahusika fake?Kuna katuni za watoto, wakubwa, na za marika yote
sana....Kwahiyo mnafurahia mnavyoangalia wahusika fake?

gen v ni nzuri?Basi wakati naendelea kula arosto ya Gen V,
katika pita pita zangu nikaiona Banshee, nikasema hii hua inasifiwa sana ila sijawahi iona, nikadownload eps 2 kwanza ebwana eeh bonge moja la series.....
Sasa kila nikimuangalia Sherif fake nasema hii sura nimeiona wapiiiii, kumbe ni mzee mzima Homelander wa The Boys....Jamaa ile facial expression yake ya kwenye The Boys kumbe imeanzia mbali tangu akiwa Banshee....
Anyway, ngoja niangalie episode hata moja ndio nilale
Hiyo series ni kali mno Mara nyingi ninakuwaga siwezi kumaliza series yote Ila hii niliimaliza ina story kali yenye mtiririko mzuri wa matukio hata end yake imeisha vizuriBasi wakati naendelea kula arosto ya Gen V,
katika pita pita zangu nikaiona Banshee, nikasema hii hua inasifiwa sana ila sijawahi iona, nikadownload eps 2 kwanza ebwana eeh bonge moja la series.....
Sasa kila nikimuangalia Sherif fake nasema hii sura nimeiona wapiiiii, kumbe ni mzee mzima Homelander wa The Boys....Jamaa ile facial expression yake ya kwenye The Boys kumbe imeanzia mbali tangu akiwa Banshee....
Anyway, ngoja niangalie episode hata moja ndio nilale
Yaani ni sawa na uende hotelini uagize supu ya kuku halafu mwenye hoteli akulazimishe ule ukoko wa viazi...ni ushamba.Jf kwenye app wameshafeli wanalazimisha wote tutumie web au app mpya ambayo imekaa kama web.... binafsi siwezi kutumia web nipo na app ya zamani hadi waizime ndio itakua mwisho wangu wa kutumia jf....
Picha hazifunguki,
Kuna baadhi ya nyuzi ukifungua wanakulazimisha uende kwenye web ndio zinaonekana, kiufupi ujinga ujinga tu.
mkuu name the series wengine picha hazifungukihuku sasa kunatisha kuliko BB
mtu anakataa kutoa hela, anaf*rwa mpaka anasema ilipo![]()
Sanaaaaaaaa kama uliipenda The Boys basi hii utaipenda piagen v ni nzuri?
Wanazingua na inavyoonesha hawana mpango wa kubadilisha maana malalamiko ni ya muda mrefu sasaYaani ni sawa na uende hotelini uagize supu ya kuku halafu mwenye hoteli akulazimishe ule ukoko wa viazi...ni ushamba.
Watoa huduma watupatie walaji tunachokihitaji sio wanachotaka wao
snowfallmkuu name the series wengine picha hazifunguki
Watu hawaitaji sana ila ni moja kati ya series kali sana , character niliyekua namkubali ni JOB sema jamaa sijui kwanini walimvisha ushoga ndani yake.Basi wakati naendelea kula arosto ya Gen V,
katika pita pita zangu nikaiona Banshee, nikasema hii hua inasifiwa sana ila sijawahi iona, nikadownload eps 2 kwanza ebwana eeh bonge moja la series.....
Sasa kila nikimuangalia Sherif fake nasema hii sura nimeiona wapiiiii, kumbe ni mzee mzima Homelander wa The Boys....Jamaa ile facial expression yake ya kwenye The Boys kumbe imeanzia mbali tangu akiwa Banshee....
Anyway, ngoja niangalie episode hata moja ndio nilale
Kalii sana kuna yule don mmoja hiv ana roho mbaya sana alimgonga hadi mjomba wakeBasi wakati naendelea kula arosto ya Gen V,
katika pita pita zangu nikaiona Banshee, nikasema hii hua inasifiwa sana ila sijawahi iona, nikadownload eps 2 kwanza ebwana eeh bonge moja la series.....
Sasa kila nikimuangalia Sherif fake nasema hii sura nimeiona wapiiiii, kumbe ni mzee mzima Homelander wa The Boys....Jamaa ile facial expression yake ya kwenye The Boys kumbe imeanzia mbali tangu akiwa Banshee....
Anyway, ngoja niangalie episode hata moja ndio nilale
Sana kalii sanagen v ni nzuri?
KumbeHakuna yule jamaa ni mwamba kabisa , ameoa kabisa kama unamkumbuka yupo kwenye warrior anaitwa CHOW
Ndio sema kipindi cha banshee alikua bado bwana mdogo tuu sasahivi umri umeendaKumbe
Sema kwenye banshee kapiga sana kazii kamuokoa sana yule mwanae alimtengenezea id fake laikini zilikuwa kama originalNdio sema kipindi cha banshee alikua bado bwana mdogo tuu sasahivi umri umeenda
Kale kabinti kalianza kujilainisha kitambo, alimpiga hadi busu la shavu... jamaa kauzu hata kucheka hachekiKalii sana kuna yule don mmoja hiv ana roho mbaya sana alimgonga hadi mjomba wake