Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kale kabinti kalianza kujilainisha kitambo, alimpiga hadi busu la shavu... jamaa kauzu hata kucheka hacheki
Sema kale kabinti kana nyege sana hadi wazazi wake walikafukuza kwao akiwashwa achelewi kukuvulia na kukupa utamu bwana mdogo sheriff alikula sana mule kilikuwa ndo kipoozeo baada ya kubaniwa na anna ambaye alibadili jina lake
 
Ni kweli kabisa alafu kipindi hicho ndo alikua anajitafuta kukataa ni ngumu sana ukiangalia piah wewe sio mtu wa taifa Lao, na character ya job ilitakiwa ife mapema kabisa ila jamaa akatokea kuwa kipenzi cha mashabiki, ikabidi story yake iendelee.
Kaitendea haki sana, ana pozi kanizidi hata mie
 
Ni kweli kabisa alafu kipindi hicho ndo alikua anajitafuta kukataa ni ngumu sana ukiangalia piah wewe sio mtu wa taifa Lao, na character ya job ilitakiwa ife mapema kabisa ila jamaa akatokea kuwa kipenzi cha mashabiki, ikabidi story yake iendelee.
Jamaa ana hack hadi fbi walikoma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom