Series (Special thread)

Series (Special thread)

Habari humu ndani ,naomba kuuliza hv VIKINGS ya Ragnar ndio imeishia ile season 6 ?

Nashindwa kuelewa maana Kuna mahala nimeona kuna Series inaitwa VIKING VALHALLA je hii ni muendelezo wake ama Nini?
VIKING ya ragna iliisha hii VIKING valhalla ni matukio ya miaka 100 baada ya kifo cha ragna , maviking bado hawajaacha tabia zao za kuvamia jamii nyingine
 
Nikifanya update picha hazifunguki hapa natumia app ya azamani
Jf kwenye app wameshafeli wanalazimisha wote tutumie web au app mpya ambayo imekaa kama web.... binafsi siwezi kutumia web nipo na app ya zamani hadi waizime ndio itakua mwisho wangu wa kutumia jf....

Picha hazifunguki,
Kuna baadhi ya nyuzi ukifungua wanakulazimisha uende kwenye web ndio zinaonekana, kiufupi ujinga ujinga tu.
 
Imefika episode ya 3
IMG_20231008_222315_396.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom