Daah sure kabisa...Be advised..
Sio kila series inayopostiwa humu ukajua ni kali ukaivamia.
Kuna jamaa ana exaggerate mambo ili aonekane anajua series na kukosolewa hataki..
Mtakuja nishukuru baadae.
😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌 mission impossible utakutana na docomentaryCharles kilian, Mr Q, Franky Samuel Niko namalizia american gangster.
👉Ili niangalie mission impossible 7 part one
Ni complete hii..?Imefikia patamu sana
View attachment 2769045
Documentary ipi???, Mbona Kali tu🤔😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌 mission impossible utakutana na docomentary
We Jamaa toka jukwaa la sport, una pressure ya kudiss watu🤔🤔🤒Be advised..
Sio kila series inayopostiwa humu ukajua ni kali ukaivamia.
Kuna jamaa ana exaggerate mambo ili aonekane anajua series na wakati hana alijualo na kukosolewa hataki..
Mtakuja nishukuru baadae.
Shadow and bone Ume Iona??Mimi nacheki hii kaka kuna wachawi mfululu na mapanga mfululuView attachment 2769042
Icheki hiyo mission impossible then.Documentary ipi???, Mbona Kali tu🤔
Nikuambie kipi???, Akati movie Kali.Icheki hiyo mission impossible then.
Uniambie ipo vipi.. ?
Bado kaka ngoja niipakue niitazamaeShadow and bone Ume Iona??
Bado inatoka vipande kila wikiNi complete hii..?
🤝🤝🤝 basi sawaNikuambie kipi???, Akati movie Kali.
👉Sema hii ni part one, so Ulitaka nini??
Mshamba jamaa achana nae anatafuta kiki humuWe Jamaa toka jukwaa la sport, una pressure ya kudiss watu🤔🤔🤒
Sawa sawa mkuu...Bado inatoka vipande kila wiki
Unanisema si ndio una bonga kama mtoto wa kike acha ushamba na ulimbukeni mdogo wangu nilikwambia toka juzi humu hapakifai nenda kaangalie zilizo tafsiriwa na mapimbi wenzioBe advised..
Sio kila series inayopostiwa humu ukajua ni kali ukaivamia.
Kuna jamaa ana exaggerate mambo ili aonekane anajua series na wakati hana alijualo na kukosolewa hataki..
Mtakuja nishukuru baadae.
Kaka hii sio powa kuna kipande muhuni aliingizwa kisu makalioniCharles kilian, Franky Samuel, Dream Queen, Depal, Mr Q
👉Hi chuma mna ijuaa??, Ziko season Kama 8 hivii- kila moja na story yake.
👉Echo ikasome hapa🤒😂.
View attachment 2769053View attachment 2769054
Nimesha mchana hapo juu, ana Tabia za kike kike tu.Unanisema si ndio una bonga kama mtoto wa kike acha ushamba na ulimbukeni mdogo wangu nilikwambia toka juzi humu hapakifai nenda kaangalie zilizo tafsiriwa na mapimbi wenzio