Series (Special thread)

Series (Special thread)

Jawan itakua kali maana naona SRK ameludi kwa nguvu sana movie zake zote mbili zimepiga mauzo makubwa sana box office maana jawan mpk sasahivi imeshaingiza 124M dollars
Na bado Kama sio mwezi wa 12 au Mwakani 1, ana kuja na chuma kipya.
👉Prabhas na yeye ana kuja na movie yake- SI una jua huwa Wana ushindanj
 
Kuna mtu aliirecommend nikaona sio mbaya ngoja nipitishe macho na mie, ni nzuri ila Wakorea wapunguze masikhara bhana, kwani hawawezi kufanya serious movie mwanzo mwisho hadi uchale uchale, aaargh, nipo ep 2
MV5BOTAzMWM3OGEtOTM5Ny00YWQ3LWI4MzgtY2EyZjFiNzUyODRkXkEyXkFqcGdeQXVyMTMzNzIyNDc1._V1_.jpg
 
Kuna mtu aliirecommend nikaona sio mbaya ngoja nipitishe macho na mie, ni nzuri ila Wakorea wapunguze masikhara bhana, kwani hawawezi kufanya serious movie mwanzo mwisho hadi uchale uchale, aaargh, nipo ep 2View attachment 2768872
Huu mzigo mkali kwanza action ipo yakutosha kwenye ukichaa hapo hawa watu wa asia hawawezi kuacha hata movie iwe serious vipi lazima kuwe na uchizi ndani yake
 
Huu mzigo mkali kwanza action ipo yakutosha kwenye ukichaa hapo hawa watu wa asia hawawezi kuacha hata movie iwe serious vipi lazima kuwe na uchizi ndani yake
Kabisa kama the last of us kuna ukichaa mwingi sana mule🤣🤣🤣😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom