Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,221
- 79,744
Iko fresh sanaEeh nimeona wanachinjana haswaaaa, nimeipenda kiukweli ila comedy sizitaki
Iko fresh sanaEeh nimeona wanachinjana haswaaaa, nimeipenda kiukweli ila comedy sizitaki
Nakubali hawawezi kuacha, labda ndio life style yaoHuu mzigo mkali kwanza action ipo yakutosha kwenye ukichaa hapo hawa watu wa asia hawawezi kuacha hata movie iwe serious vipi lazima kuwe na uchizi ndani yake
Ni mini series kaka ina episode 6 tu za motoSingle or series na I'm Isha??
My fav korean star.... zamani nilikua nawaangalia sana wakorea kabla haijaja hii generation ya wapaka make up na kulamba lipsIla wewe, Jang hyuk una mjua??
Huyu naye aachie drama, nime mkumbuka ukichaa wake 😂🤣.Ila Wakorea wana mikwaraaaaa![]()
Skuiz drama nyingiMy fav korean star.... zamani nilikua nawaangalia sana wakorea kabla haijaja hii generation ya wapaka make up na kulamba lips
Fundi sanaHuyu naye aachie drama, nime mkumbuka ukichaa wake 😂🤣.
👉 Dream Queen, Franky Samuel, Mr Q, Charles kilian
View attachment 2768905View attachment 2768908
Mbona vyuma bado anavyo, hizi Ume ziona???My fav korean star.... zamani nilikua nawaangalia sana wakorea kabla haijaja hii generation ya wapaka make up na kulamba lips
Sema haifai kucheki na watoto
Korean swordman uli Iona??Fundi sana
Horror action uongouongo wa kisayansi au nini hii?
Mara ya kwanza kumuona na kumkubali kwenye Slave Hunter ile series waliigiza bhana, since then nikawa shabiki yake kindaki ndaki... ana ukichaa kweli ila akikasirikaaaaaHuyu naye aachie drama, nime mkumbuka ukichaa wake.
Dream Queen, Franky Samuel, Mr Q, Charles kilian
View attachment 2768905View attachment 2768908
Hatari sana, i hope watatukosha kama The Boys
Niache kwanza em nimalizie nilizojaza kwa flash 😂Charles kilian, Franky Samuel, Mr Q, Dream Queen, Depal,
👉Huu Mzigo mmesha uona??
View attachment 2768635
Mi Nina mizigo Kwenye pc mpaka najiogopa 🤣😂😂Niache kwanza em nimalizie nilizojaza kwa flash 😂
Afu huwa ana cheka cheka hovyo, hii character ninayo pia🤣Mara ya kwanza kumuona na kumkubali kwenye Slave Hunter ile series waliigiza bhana, since then nikawa shabiki yake kindaki ndaki... ana ukichaa kweli ila akikasirikaaaaa
Mimi nacheki hii kaka kuna wachawi mfululu na mapanga mfululuCharles kilian, Mr Q, Franky Samuel Niko namalizia american gangster.
👉Ili niangalie mission impossible 7 part one