Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,097
- 82,841
Mimi macho yakiniuuma navaa mewani toka mwezi wa kwanza hadi leo nacheki movie na series mfululu hadi kichwa kinauma🤣🤣🤣😂😂😁Usiangalizie kwa Pc tu.
Inaua macho
Kuna week nilikuwa likizo, nikafululiza nakimbizana na Merlin niimalize. Nimekuja kumaliza nikaanza kufeel wenge flan.