Series (Special thread)

Series (Special thread)

Sema kweli niamke ndani niende Library 🤗
Yeah ni Kali Sana, ila We morgana, kaitafute hii ni 🔥🔥🤣😂.
Ina itwa one piece
FB_IMG_16960568453447993.jpg
 
Yeah ni Kali Sana, ila We morgana, kaitafute hii ni 🔥🔥🤣😂.
Ina itwa one piece
View attachment 2767073
Merlin niliirudia yote ikaisha🤣
Na nikastop kuangalia nisije komaza macho.

Mimi mapenzi ya kikorea ndio yamenishinda kuangalia. Ila uchawi, ngumi, mapenzi ya black americans, ya wazungu only if hamna mikazo mingi,nazipendela.

Ngoja nichukue jina hilo
 
Dah ma black huwezi watenganisha na mikazo🤣😂😂.
👉Kuna mdada best angu, nili mkuta ana angalia I'll shaka - haa😂🤣.
👉Mle winchinchi ya wazi wazi🤣😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom