Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,429
- 27,122
Sio mbaya kwa kuvutia muda
Huyu dada anapiga mkono sio powa aisee yupo vizuri sana sema alipata tabu sana ep ya mwishoSio mbaya kwa kuvutia muda View attachment 2765355
Mkuu naomba link ya series/movie zinazomhusu Pablo Escobar ukiachana na NarcosHuyu dada anapiga mkono sio powa aisee yupo vizuri sana sema alipata tabu sana ep ya mwisho
Mkuu naomba link ya series/movie zinazomhusu Pablo Escobar ukiachana na Narcos
Mkuu naomba link ya series/movie zinazomhusu Pablo Escobar ukiachana na Narcos
todaytvseries.one
Mkuu naomba link ya series/movie zinazomhusu Pablo Escobar ukiachana na Narcos
Mimi hata hiyo mbili sikuimaliza, yaani niliona kama maigizo ya bongo movieSikuipenda kabisa,niliangalia episode mbili tu,ngoja niendelee….
Nikishaona muvi ina mambo ya unsyuka/,ushumileta ndani yake huwa sijisumbui kuitafuta. Kila la kheriWadau vipi hii, nishuke nayo au haina maajabu?
View attachment 2766794
Hahaha hao ni kina Star Wars najua sio mambo zako ila kwa mkono wanapigana mnooo hao sio wakina SpidermanNikishaona muvi ina mambo ya unsyuka/,ushumileta ndani yake huwa sijisumbui kuitafuta. Kila la kheri
Kama unapenda ulimwengu wa star wars icheki ikio freshiWadau vipi hii, nishuke nayo au haina maajabu?
View attachment 2766794
Kabisa kaka nzuri sana hii kuna zorro na mapanga yake kaupiga mwingi sanaOne piece kitu nzuri Sana, action + adventure 🤒.
👉 Mvaa Kobazi, Charles kilian, Franky Samuel, Dream Queen, Mr Q, Introsagvert
View attachment 2767028
Nishaimaliza, tusubiri season 2One piece kitu nzuri Sana, action + adventure.
Mvaa Kobazi, Charles kilian, Franky Samuel, Dream Queen, Mr Q, Introsagvert
View attachment 2767028
Mzee wa gum gum Luffy de monky🤣Kabisa kaka nzuri sana hii kuna zorro na mapanga yake kaupiga mwingi sana
Yeah, Kumbe Ina cartoon yakee.Nishaimaliza, tusubiri season 2
Imeishia patamu sana dogo kawekewa usd efu 30 na kashakuwa mharamia sijui itakuwaje season 2Mzee wa gum gum Luffy de monky🤣
Ni animeYeah, Kumbe Ina cartoon yakee.
Yeahhh kaka,Ni anime
Wajapan, yes japo sijaiangalia.... animations za Wajapan siziweziYeah, Kumbe Ina cartoon yakee.
Yeah, producer kasema soon Wana Rudi mzigoni.Imeishia patamu sana dogo kawekewa usd efu 30 na kashakuwa mharamia sijui itakuwaje season 2