Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,240
- 79,797
Kaka kuna fujo sana series kalii sanaUwezi amini ndo naanza kuangalia episode ya kwanza hapa
Kaka kuna fujo sana series kalii sanaUwezi amini ndo naanza kuangalia episode ya kwanza hapa
Unakosea sana yaani saana kalii sanaNaipitaga Sana hio kwenye nkiri+lookmovie
Leingweji beria ni kikwazi 😁😁😁Unakosea sana yaani saana kalii sana
Polee sana kaka dubbed zipo sema za kununuaLeingweji beria ni kikwazi 😁😁😁
AseePolee sana kaka dubbed zipo sema za kununua
Inaonesha nzuriii
Sana kalii sanaInaonesha nzuriii
Na sito iangalia, maana wali paswa waimalize mapema.Hii kali season 1 tuuh season 2 walifanya kuilazimisha yaani matukio yakiboya kabisa
Season 1 naipa 8/10
Season 2 naipa 3/10
Kumbe season 2 wanasema Isha toka??.Kabisa maana tamu sana
🤣🤣🤣🤣😂😁Kumbe season 2 wanasema Isha toka??.
👉Wana sema Mbovu eti🤔
Naku zingua😀🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😁
🤣🤣😂😂😁😁Movie au series mbona umekosea mkuuWakuu naombeni aina za movie kama strike back. Yenye kufanana au zaidi ya strike back
24 hoursWakuu naombeni aina za movie kama strike back. Yenye kufanana au zaidi ya strike back
Series mkuu. Wapi nimekosea manMovie au series mbona umekosea mkuu
Series mkuu. Wapi nimekosea man
Uliposema movie 😂😂🤣😁Series mkuu. Wapi nimekosea man
Sana story yake nzuri sanaHii imetulia piaView attachment 2764503