Diamond anakaribia kujiunga na vinega baada ya kugundua zomea ya jana ilipangwa na clouds baada ya kuwagomea fiesta za mikoani.
"labda analitangaza jeshi letu"
Umeanzisha FIESTA SPECIAL THREAD umeona haitoshi umekuja kuanzisha Sub thread.....
Hizi updates si tunapeana kule...
Eti hii nayo comment ya msomi kabisa.
Principle ya Watanzania ni kwamba ukipanda juu lazma wakushushe
Ngoja msemaji wa jeshi aje sasa hivi
diiiiiii bonge la kiki vip ataitaja na kampuni ya wasafi clasic baby katika maelezo yake
Unasemaaaje?leo T,I anafunikwa tu ..watu wamekuja kumshangaa ila shangwe linaishia kwa Mr blu, ally kiba, Ya moto band halafu Diamond anakuja kuvunja rekodi yake
Mara nyingi Jeshi huwa linawaonea wananchi bila sababu ya msingi.Wanajeshi huwa wanajiona wao ni watu wa kipekee sana sababu tu ni wanajeshi.Ndio maana ni Tanzania tu ambapo mwanajeshi anapanda kwenye basi bila kulipa nauli,nilishuhudia siku moja mwanajeshi akimpiga makofi kondakta wa daladala eti kwa kumdai nauli, kwa kuwa alivaa koti, kondakta hakuona sare zake.Hata hili la kuwaadhibu wanaovaa sare zinazofanana na jeshi ni muendelezo wa dharau za jeshi kwa raia
Jaslaws at his his/her best!
Diamond ajipange upya........!!!R kelly anajua Ali k ni nani.
ally kiba atashangiliwa sana, ila atakapokuja Diamond dunia itasimama kwa dakika 5
hata hamkumbuki
Kuna muda mwingine naamini kabisa binadamu ndio mnyama pekee ambaye ni vigumu kumchunguza maana yeye kila muda tabia ina badilika!
Hawa walio mzomea Diamond pengine ndio walio. mshangilia fiesta iliyopita!
Najua hii habari ya kuzewa kwa Diamond itawafurahisha GPL na itakuwa front page magazeti yao!
Diamond najua ameumizwa na hichi kitendo lakini anatakiwa kuhakikisha hizi hisia zake zisimgombanishe na watu wake kabisa na anatakiwa kujua wahuni wengi wako Dares-salaam hata asingezomewa yeye lazima kuna mtu angezowewa na haiwezekani kabisa watu wakushangilie kila Leo!
Kwakweli Mimi nilitegemea sana kati ya Alikiba au Diamond Lazima kuna mmoja angezomewa kabisa kwakweli nilisikitika sana kile kitendo yaani as if Diamond si msanii wa Tanzania vile!
Kwakweli kile kitendo kili niuma na niliamua kuzima runinga nikawa na fatilia kupitia jf tuuu duu aiseee hakuna kazi ngumu kama kuwa Msanii mkubwa Tanzania!
Diamond usikate tamaa!