Serengeti fiesta 2014 special thread

Serengeti fiesta 2014 special thread

Tusiopenda vurugu tushaanza kujisogeza pembeni tayari kwa kusepa manake kuna dalili zote za kuzuka vurugu hapa... jinsi ninavyowasikia watu hapa... ni kama wamejiandaa kufanya fujo akiingia Diamond... kama hujazuka mtiti kati ya haters wa Diamond na mashabiki wake, basi sio mimi!
jisogeze karibu na polisi au karibu na kituo cha huduma ya kwanza,watu walishakunywa viroba,mtatolewa ngeo bure
 
mhhhh huyu Lord Eyes ni shida aisee ok Weusi naona sasa wanafanya yao hawa ndio wanajua nini maana ya hip hop aisee hapa kumechafuka zile timu zen wekeni pembeni ngoma inayopigwa hapa ni Wawio aliyesuka hii bit naomba kumjua,huyu G nako anasauti flan hivi
 
Lord eyez hayupo apo
 
Kiba abadilike sasaaa kimavazi si unaona hata weus wanabuni mavazi yao
Heee TI anapanda saa kumi ninii auuu hhhhhhaaaa
 
umefuatilia show au viroba vishapanda tayari

aaaah aaaah aaaaah mkuu bwana hayo sio majibu ungemjibu kwamba ye baada ya kupanda Joh Makini akafuata Lord eyes then G nako afu Lory eyes akatoka na nafasi yake kuchukuliwa na Nick wa Pili,hawa jamaa aliyewafanyia desgning ya nguo naomba kufahamishwa wamepebdeza
 
Back
Top Bottom